1
Luka 24:49
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Nami mwenyewe nitawapelekeeni yule ambaye Baba aliahidi kumtuma, lakini ngojeni huku mjini mpaka mtakapopewa ile nguvu itokayo juu.”
Comparer
Explorer Luka 24:49
2
Luka 24:6
Hayuko hapa; amefufuka. Kumbukeni aliyowaambieni alipokuwa kule Galilaya
Explorer Luka 24:6
3
Luka 24:31-32
Mara macho yao yakafumbuliwa, wakamtambua; lakini yeye akatoweka kati yao. Basi, wakaambiana, “Je, mioyo yetu haikuwa inawaka ndani yetu wakati alipokuwa anatufafanulia Maandiko Matakatifu kule njiani?”
Explorer Luka 24:31-32
4
Luka 24:46-47
Akawaambia, “Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu, na kwamba ni lazima, kwa jina lake, mataifa yote kuanzia Yerusalemu, yahubiriwe kwamba watu wanapaswa kutubu na kusamehewa dhambi.
Explorer Luka 24:46-47
5
Luka 24:2-3
Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi. Walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Yesu.
Explorer Luka 24:2-3
Accueil
Bible
Plans
Vidéos