1
Mwanzo 2:24
Neno: Maandiko Matakatifu
Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
مقایسه
Mwanzo 2:24 را جستجو کنید
2
Mwanzo 2:18
BWANA Mwenyezi Mungu akasema, “Si vyema huyu mtu awe peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kumfaa.”
Mwanzo 2:18 را جستجو کنید
3
Mwanzo 2:7
BWANA Mwenyezi Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.
Mwanzo 2:7 را جستجو کنید
4
Mwanzo 2:23
Huyo mwanaume akasema, “Huyu sasa ni mfupa wa mifupa yangu na nyama ya nyama yangu, ataitwa ‘mwanamke,’ kwa kuwa alitolewa katika mwanaume.”
Mwanzo 2:23 را جستجو کنید
5
Mwanzo 2:3
Mwenyezi Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya.
Mwanzo 2:3 را جستجو کنید
6
Mwanzo 2:25
Adamu na mkewe wote wawili walikuwa uchi, wala hawakuona aibu.
Mwanzo 2:25 را جستجو کنید
خانه
كتاب مقدس
برنامههای مطالعه
ویدیوها