1
Mwanzo 13:15
Biblica® Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
Comparar
Explorar Mwanzo 13:15
2
Mwanzo 13:14
Baada ya Lutu kuondoka, Mwenyezi Mungu akamwambia Abramu, “Ukiwa hapo ulipo, inua macho yako utazame kaskazini na kusini, mashariki na magharibi.
Explorar Mwanzo 13:14
3
Mwanzo 13:16
Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo ikiwa kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika.
Explorar Mwanzo 13:16
4
Mwanzo 13:8
Hivyo Abramu akamwambia Lutu, “Pasiwe na ugomvi wowote kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wako, kwa kuwa sisi ni ndugu.
Explorar Mwanzo 13:8
5
Mwanzo 13:18
Basi Abramu akaondoa mahema yake, akaenda kuishi karibu na mialoni ya Mamre huko Hebroni. Naye akamjengea Mwenyezi Mungu madhabahu huko.
Explorar Mwanzo 13:18
6
Mwanzo 13:10
Lutu akatazama, akaona lile bonde lote la Yordani kuwa lilikuwa na maji tele, kama bustani ya Mwenyezi Mungu, kama nchi ya Misri, kuelekea Soari. (Hii ilikuwa kabla Mwenyezi Mungu hajaharibu Sodoma na Gomora.)
Explorar Mwanzo 13:10
Inicio
Biblia
Planes
Videos