1
Mwanzo 19:26
Swahili Revised Union Version
Lakini mkewe Lutu, akiwa nyuma ya mumewe, aliangalia nyuma akawa nguzo ya chumvi.
Comparar
Explorar Mwanzo 19:26
2
Mwanzo 19:16
Akakawiakawia; nao wale watu wakamshika mkono, na mkono wa mkewe, na mkono wa binti zake wawili, kwa jinsi BWANA alivyomhurumia, wakamtoa wakamweka nje ya mji.
Explorar Mwanzo 19:16
3
Mwanzo 19:17
Ikawa walipomtoa nje, mmoja alisema, Jiponye nafsi yako usitazame nyuma, wala usisimame katika hilo bonde popote; ujiponye mlimani, usije ukaangamia.
Explorar Mwanzo 19:17
4
Mwanzo 19:29
Ikawa Mungu alipoiharibu miji ya Bondeni, Mungu akamkumbuka Abrahamu, akamtoa Lutu katika maangamizi alipoiangamiza miji hiyo aliyokaa Lutu.
Explorar Mwanzo 19:29
Inicio
Biblia
Planes
Videos