1
Flp 1:6
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu
Comparar
Explorar Flp 1:6
2
Flp 1:9-10
Na hii ndiyo dua yangu, kwamba pendo lenu lizidi kuwa jingi sana, katika hekima na ufahamu wote; mpate kuyakubali yaliyo mema; ili mpate kuwa na mioyo safi, bila kosa, mpaka siku ya Kristo
Explorar Flp 1:9-10
3
Flp 1:21
Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.
Explorar Flp 1:21
4
Flp 1:3
Namshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo
Explorar Flp 1:3
5
Flp 1:27
Lakini mwenendo wenu na uwe kama inavyoipasa Injili ya Kristo, ili, nikija na kuwaona ninyi, au nisipokuwapo, niyasikie mambo yenu, kama mnasimama imara katika roho moja, kwa moyo mmoja mkiishindania imani ya Injili
Explorar Flp 1:27
6
Flp 1:20
kama vile nilivyotazamia sana, na kutumaini, kwamba sitaaibika kamwe, bali kwa uthabiti wote, kama sikuzote na sasa vivyo hivyo Kristo ataadhimishwa katika mwili wangu; ikiwa kwa maisha yangu, au ikiwa kwa mauti yangu.
Explorar Flp 1:20
7
Flp 1:29
Maana mmepewa kwa ajili ya Kristo, si kumwamini tu, ila na kuteswa kwa ajili yake
Explorar Flp 1:29
Inicio
Biblia
Planes
Videos