Mwanzo 6:14

Mwanzo 6:14 NENO

Kwa hiyo jitengenezee safina kubwa kwa mbao za mvinje; tengeneza vyumba ndani yake na uipake lami ndani na nje.