Mwanzo 11:8

Mwanzo 11:8 NENO

Hivyo Mwenyezi Mungu akawatawanya kutoka mahali pale waende duniani kote; nao wakaacha kuujenga huo mji.