YouVersion Logo
Search Icon

Gal 6:7-8

Gal 6:7-8 SUV

Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.

Video for Gal 6:7-8

Free Reading Plans and Devotionals related to Gal 6:7-8