Mwanzo 50:26

Mwanzo 50:26 SCLDC10

Basi, Yosefu akafariki kule Misri, akiwa na umri wa miaka 110. Nao wakaupaka mwili wake dawa usioze, wakauweka katika jeneza kule Misri.

Video vir Mwanzo 50:26