Mwanzo 47:5-6

Mwanzo 47:5-6 SCLDC10

Farao akamwambia Yosefu, “Baba yako na ndugu zako wamekujia wewe. Nchi yote ya Misri iko chini yako; wape baba yako na ndugu zako sehemu bora ya nchi hii. Waache wakae katika eneo la Gosheni. Na iwapo unawafahamu watu stadi miongoni mwao, wateue wawe waangalizi wa mifugo yangu.”

Video vir Mwanzo 47:5-6