Mwanzo 46:4

Mwanzo 46:4 SCLDC10

Mimi mwenyewe nitakwenda pamoja nawe huko Misri na kukurudisha huku. Utakapofariki, mkono wa Yosefu ndio utakaoyafumba macho yako.”

Video vir Mwanzo 46:4