Mwanzo 46:29

Mwanzo 46:29 SCLDC10

Yosefu akapanda gari lake la farasi, akaenda kumlaki Israeli, baba yake, huko Gosheni. Alipomfikia baba yake, alimkumbatia na kulia kwa kitambo kirefu.

Video vir Mwanzo 46:29