Mwanzo 42:6

Mwanzo 42:6 SCLDC10

Wakati huo Yosefu alikuwa ndiye mkuu huko Misri. Yeye ndiye aliyehusika na kuwauzia wananchi nafaka. Basi, kaka zake wakaja na kumwinamia Yosefu kwa heshima.

Video vir Mwanzo 42:6