Mwanzo 27:38

Mwanzo 27:38 SCLDC10

Esau akamwambia baba yake, “Baba, kwani una baraka moja tu? Nibariki hata mimi, ee baba!” Hapo Esau akalia kwa sauti kubwa.

Video vir Mwanzo 27:38