1
Luka 18:1
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.
對照
探尋 Luka 18:1
2
Luka 18:7-8
Je, Mungu hatawatendea haki wateule wake wanaomlilia usiku na mchana? Je, atakawia kuwasaidia? Ninawaambia, atawapatia haki upesi. Lakini je, Mwana wa Adamu atakapokuja ataikuta imani duniani?”
探尋 Luka 18:7-8
3
Luka 18:27
Yesu akajibu, “Yasiyowezekana kwa wanadamu yanawezekana kwa Mungu.”
探尋 Luka 18:27
4
Luka 18:4-5
“Kwa muda mrefu yule hakimu alikataa. Lakini hatimaye akasema moyoni mwake, ‘Ijapokuwa simwogopi Mungu wala simjali mwanadamu, lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbuasumbua, nitahakikisha amepata haki yake ili asiendelee kunichosha kwa kunijia mara kwa mara!’ ”
探尋 Luka 18:4-5
5
Luka 18:17
Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”
探尋 Luka 18:17
6
Luka 18:16
Lakini Yesu akawaita wale watoto waje kwake, akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana ufalme wa Mungu ni wa wale walio kama hawa.
探尋 Luka 18:16
7
Luka 18:42
Yesu akamwambia, “Basi upate kuona. Imani yako imekuponya.”
探尋 Luka 18:42
8
Luka 18:19
Yesu akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna yeyote aliye mwema ila Mungu peke yake.
探尋 Luka 18:19
首頁
聖經
計畫
視訊