1
Mk 11:24
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.
對照
Mk 11:24 探索
2
Mk 11:23
Amin, nawaambia, Ye yote atakayeuambia mlima huu, Ng’oka ukatupwe baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake.
Mk 11:23 探索
3
Mk 11:25
Nanyi, kila msimamapo na kusali, sameheni, mkiwa na neno juu ya mtu; ili na Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu. [
Mk 11:25 探索
4
Mk 11:22
Yesu akajibu, akamwambia, Mwaminini Mungu.
Mk 11:22 探索
5
Mk 11:17
Akafundisha, akasema, Je! Haikuandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote? Bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi.
Mk 11:17 探索
6
Mk 11:9
Nao watu waliotangulia na wale waliofuata wakapaza sauti, Hosana; ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana
Mk 11:9 探索
7
Mk 11:10
umebarikiwa na ufalme ujao, wa baba yetu Daudi. Hosana juu mbinguni.
Mk 11:10 探索
主頁
聖經
計劃
影片