1
Mk 10:45
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Kwa maana Mwana wa Adamu naye hakuja kutumikiwa, bali kutumika, na kutoa nafsi yake iwe fidia ya wengi.
對照
Mk 10:45 探索
2
Mk 10:27
Yesu akawakazia macho, akasema, Kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu.
Mk 10:27 探索
3
Mk 10:52
Yesu akamwambia, Enenda zako, imani yako imekuponya. Mara akapata kuona; akamfuata njiani.
Mk 10:52 探索
4
Mk 10:9
Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
Mk 10:9 探索
5
Mk 10:21
Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa na neno moja. Enenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.
Mk 10:21 探索
6
Mk 10:51
Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyie nini? Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona.
Mk 10:51 探索
7
Mk 10:43
Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu anayetaka kuwa mkubwa kwenu, atakuwa mtumishi wenu
Mk 10:43 探索
8
Mk 10:15
Amin, nawaambieni, Ye yote asiyeukubali ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hatauingia kabisa.
Mk 10:15 探索
9
Mk 10:31
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho; na wa mwisho watakuwa wa kwanza.
Mk 10:31 探索
10
Mk 10:6-8
Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke. Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.
Mk 10:6-8 探索
主頁
聖經
計劃
影片