1
Lk 10:19
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
對照
Lk 10:19 探索
2
Lk 10:41-42
Bwana akajibu akamwambia, Martha, Martha, unasumbuka na kufadhaika kwa ajili ya vitu vingi; lakini kinatakiwa kitu kimoja tu; na Mariamu amelichagua fungu lililo jema, ambalo hataondolewa.
Lk 10:41-42 探索
3
Lk 10:27
Akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; na jirani yako kama nafsi yako.
Lk 10:27 探索
4
Lk 10:2
Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke watenda kazi katika mavuno yake.
Lk 10:2 探索
5
Lk 10:36-37
Waonaje wewe, katika hao watatu, ni yupi aliyekuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya wanyang’anyi? Akasema, Ni huyo aliyemwonea huruma. Yesu akamwambia, Enenda zako, nawe ukafanye vivyo hivyo.
Lk 10:36-37 探索
6
Lk 10:3
Enendeni, angalieni, nawatuma kama wana kondoo kati ya mbwa-mwitu.
Lk 10:3 探索
主頁
聖經
計劃
影片