1
Yn 9:4
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Imetupasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenipeleka maadamu ni mchana, usiku waja asipoweza mtu kufanya kazi.
對照
Yn 9:4 探索
2
Yn 9:5
Muda nilipo ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu.
Yn 9:5 探索
3
Yn 9:2-3
Wanafunzi wake wakamwuliza wakisema, Rabi, ni yupi aliyetenda dhambi, mtu huyu au wazazi wake, hata azaliwe kipofu? Yesu akajibu, Huyu hakutenda dhambi, wala wazazi wake; bali kazi za Mungu zidhihirishwe ndani yake.
Yn 9:2-3 探索
4
Yn 9:39
Yesu akasema, Mimi nimekuja ulimwenguni humu kwa hukumu, ili wao wasioona waone, nao wanaoona wawe vipofu.
Yn 9:39 探索
主頁
聖經
計劃
影片