1
Mwa 15:6
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
SUV
Akamwamini BWANA, naye akamhesabia jambo hili kuwa haki.
對照
Mwa 15:6 探索
2
Mwa 15:1
Baada ya mambo hayo neno la BWANA likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana.
Mwa 15:1 探索
3
Mwa 15:5
Akamleta nje, akasema, Tazama sasa mbinguni, kazihesabu nyota, kama ukiweza kuzihesabu. Akamwambia, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako.
Mwa 15:5 探索
4
Mwa 15:4
Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.
Mwa 15:4 探索
5
Mwa 15:13
BWANA akamwambia Abramu, Ujue hakika ya kwamba uzao wako utakuwa mgeni katika nchi isiyo yake, watawatumikia watu wale, nao watateswa muda wa miaka mia nne.
Mwa 15:13 探索
6
Mwa 15:2
Abramu akasema, Ee Bwana MUNGU, utanipa nini, nami naenda zangu hali sina mtoto, na atakayeimiliki nyumba yangu ni huyu Eliezeri, Mdameski?
Mwa 15:2 探索
7
Mwa 15:18
Siku ile BWANA akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati
Mwa 15:18 探索
8
Mwa 15:16
Na kizazi cha nne kitarudi hapa, maana haujatimia uovu wa Waamori bado.
Mwa 15:16 探索
主頁
聖經
計劃
影片