1
Yohana 1:12
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Bali wote waliompokea, yaani wale walioliamini jina lake, aliwapa uwezo wa kufanyika wana wa Mungu.
對照
Yohana 1:12 探索
2
Yohana 1:1
Hapo mwanzo alikuwako Neno, naye huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana 1:1 探索
3
Yohana 1:5
Nuru hung’aa gizani nalo giza halikuishinda.
Yohana 1:5 探索
4
Yohana 1:14
Neno alifanyika mwili, akakaa miongoni mwetu, nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba, amejaa neema na kweli.
Yohana 1:14 探索
5
Yohana 1:3-4
Vitu vyote viliumbwa kupitia kwake, na hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa pasipo yeye. Ndani yake kulikuwa na uzima, nao huo uzima ulikuwa nuru ya watu.
Yohana 1:3-4 探索
6
Yohana 1:29
Siku iliyofuata, Yahya alimwona Isa akimjia, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu!
Yohana 1:29 探索
7
Yohana 1:10-11
Huyo Neno alikuwako ulimwenguni, na ingawa ulimwengu uliumbwa kupitia kwake, haukumtambua. Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea.
Yohana 1:10-11 探索
8
Yohana 1:9
Nuru halisi inayomwangazia kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.
Yohana 1:9 探索
9
Yohana 1:17
Kwa kuwa sheria ilitolewa kwa mkono wa Musa, lakini neema na kweli zimekuja kupitia Isa Al-Masihi.
Yohana 1:17 探索
主頁
聖經
計劃
影片