Mattayo MT. 14:28-29

Mattayo MT. 14:28-29 SWZZB1921

Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji. Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akatembea juu ya maji, illi kumwendea Yesu.

Àwọn Fídíò tó Jẹmọ́ ọ