YouVersion Logo
تلاش

Luka MT. 7:47-48

Luka MT. 7:47-48 SWZZB1921

Kwa ajili hiyo, nakuambia, Amesamehewa dhambi zake zilizo nyingi kwa kuwa amependa sana. Nae asamehewae kidogo hupenda kidogo. Akamwambia, Umesamehewa dhambi zako.

پڑھیں Luka MT. 7