1
Yohana 5:24
Neno: Maandiko Matakatifu
“Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma, anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini, na kuingia uzimani.
موازنہ
تلاش Yohana 5:24
2
Yohana 5:6
Isa alipomwona akiwa amelala hapo, naye akijua kuwa amekuwa hapo kwa muda mrefu, akamwambia, “Je, wataka kuponywa?”
تلاش Yohana 5:6
3
Yohana 5:39-40
Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele, maandiko haya ndiyo yanayonishuhudia Mimi. Lakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima.
تلاش Yohana 5:39-40
4
Yohana 5:8-9
Isa akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako, uende.” Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.
تلاش Yohana 5:8-9
5
Yohana 5:19
Isa akawaambia, “Amin, amin nawaambia, Mwana hawezi kufanya jambo lolote peke yake, yeye aweza tu kufanya lile analomwona Baba yake akifanya, kwa maana lolote afanyalo Baba, Mwana pia hufanya vivyo hivyo.
تلاش Yohana 5:19
صفحہ اول
بائبل
مطالعاتی منصوبہ
Videos