1
Mwanzo 18:14
Neno: Maandiko Matakatifu
Je, kuna jambo lolote gumu lisilowezekana kwa BWANA? Nitakurudia mwakani majira kama haya, naye Sara atakuwa na mwana.”
موازنہ
تلاش Mwanzo 18:14
2
Mwanzo 18:12
Hivyo Sara akacheka kimoyomoyo alipokuwa akiwaza, “Baada ya mimi kuwa mkongwe hivi na bwana wangu amezeeka, je, nitaweza kufurahia jambo hili?”
تلاش Mwanzo 18:12
3
Mwanzo 18:18
Hakika Ibrahimu atakuwa taifa kubwa na lenye nguvu, kupitia kwake mataifa yote ya dunia yatabarikiwa.
تلاش Mwanzo 18:18
4
Mwanzo 18:23-24
Ndipo Ibrahimu akamsogelea akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu? Je, ikiwa watakuwepo watu wenye haki hamsini katika mji huo, hivi kweli utauangamiza na wala hutauacha kwa ajili ya hao watu hamsini wenye haki waliomo ndani yake?
تلاش Mwanzo 18:23-24
5
Mwanzo 18:26
BWANA akasema, “Kama nikipata watu hamsini wenye haki katika mji wa Sodoma, nitausamehe huo mji wote kwa ajili yao.”
تلاش Mwanzo 18:26
صفحہ اول
بائبل
مطالعاتی منصوبہ
Videos