1
Luka MT. 12:40
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Na ninyi, bassi, mwe tayari, kwa sababu saa msiyodhani, Mwana wa Adamu yuaja.
موازنہ
تلاش Luka MT. 12:40
2
Luka MT. 12:31
Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na haya yote mtazidishiwa.
تلاش Luka MT. 12:31
3
Luka MT. 12:15
Akawaambia, Angalieni, jilindeni na kutamani, maana uzima wa mtu hautoki katika mali zake, kwa sababu ana wingi wa mali.
تلاش Luka MT. 12:15
4
Luka MT. 12:34
Kwa maana hazina yenu ilipo ndipo na itakapokuwa na mioyo yenu.
تلاش Luka MT. 12:34
5
Luka MT. 12:25
Yupi wenu awezae kwa kusumbuka kujiongeza kimo chake mkono mmoja?
تلاش Luka MT. 12:25
6
Luka MT. 12:22
Akawaambia wanafunzi wake, Kwa sababu hii nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mleni: wala miili yenu mvaeni.
تلاش Luka MT. 12:22
7
Luka MT. 12:7
walakini hatta nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope bassi: ninyi bora kuliko videge vingi.
تلاش Luka MT. 12:7
8
Luka MT. 12:32
Msiogope, enyi kundi dogo, kwa kuwa Baba yenu ameona vyema kuwapeni ufalme.
تلاش Luka MT. 12:32
9
Luka MT. 12:24
Watafakarini kunguru, hawapandi wala hawavuni: hawana pa kuweka akiba wala ghala, na Mungu huwalisha. Ninyi si hora sana kuliko ndege?
تلاش Luka MT. 12:24
10
Luka MT. 12:29
Bassi ninyi msitafute mtakavyokula wala mtakavyokunywa, wala msiwe na roho yenye tashwishi.
تلاش Luka MT. 12:29
11
Luka MT. 12:28
Bassi ikiwa Mungu huvika hivi haya majani ya kondeni yaliyopo leo, yakatupwa kalibuni kesho, si ninyi zaidi sana, enyi wa imani haba?
تلاش Luka MT. 12:28
12
Luka MT. 12:2
Lakini hakuna neno lililofunikwa ambalo halitafunuliwa khalafu, wala lililostirika ambalo halitajulika khalafu.
تلاش Luka MT. 12:2
صفحہ اول
بائبل
مطالعاتی منصوبہ
Videos