1
Mattayo MT. 4:4
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, illa kwa killa neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Karşılaştır
Mattayo MT. 4:4 keşfedin
2
Mattayo MT. 4:10
Ndipo Yesu akamwambia, Nenda zako, Shetani: kwa maana imeandikwa, Utamsujudia Bwana Mungu wako, nae peke yake utamwabudu.
Mattayo MT. 4:10 keşfedin
3
Mattayo MT. 4:7
Yesu akamwambia. Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
Mattayo MT. 4:7 keşfedin
4
Mattayo MT. 4:1-2
NDIPO Yesu alipopandishwa na Roho hatta jangwani, illi ajaribiwe na Shetani. Akafunga siku arubaini mchana na usiku, baadae akaona njaa.
Mattayo MT. 4:1-2 keşfedin
5
Mattayo MT. 4:19-20
Akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wii watu. Marra wakaziacha nyavu, wakamfuata.
Mattayo MT. 4:19-20 keşfedin
6
Mattayo MT. 4:17
Tokea wakati huo Yesu akaanza kukhubiri, na kusema, Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Mattayo MT. 4:17 keşfedin
Ana Sayfa
Kutsal Kitap
Okuma Planları
Videolar