1
Mwanzo 5:24
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Idrisi akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.
Karşılaştır
Mwanzo 5:24 keşfedin
2
Mwanzo 5:22
Baada ya kumzaa Methusela, Idrisi alitembea na Mungu miaka mia tatu, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Mwanzo 5:22 keşfedin
3
Mwanzo 5:1
Hii ni orodha iliyoandikwa ya vizazi vya Adamu. Mungu alipomuumba mwanadamu, alimfanya kwa sura ya Mungu.
Mwanzo 5:1 keşfedin
4
Mwanzo 5:2
Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “Binadamu.”
Mwanzo 5:2 keşfedin
Ana Sayfa
Kutsal Kitap
Okuma Planları
Videolar