Mwanzo 21:2

Mwanzo 21:2 NENO

Sara akapata mimba, na akamzalia Ibrahimu mwana katika uzee wake, katika majira yale Mungu alikuwa amemwahidi.