1
Mwanzo 4:7
Neno: Bibilia Takatifu
Ukifanya lililo sawa, je, hutakubalika? Lakini usipofanya lililo sawa, dhambi inakuvizia mlangoni mwako, inakutamani wewe, lakini inakupasa uishinde.”
ஒப்பீடு
Mwanzo 4:7 ஆராயுங்கள்
2
Mwanzo 4:26
Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la BWANA.
Mwanzo 4:26 ஆராயுங்கள்
3
Mwanzo 4:9
Kisha BWANA akamuuliza Kaini, “Ndugu yako Abeli yuko wapi?” Akamjibu, “Sijui, je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”
Mwanzo 4:9 ஆராயுங்கள்
4
Mwanzo 4:10
BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.
Mwanzo 4:10 ஆராயுங்கள்
5
Mwanzo 4:15
Lakini BWANA akamwambia, “La sivyo, ikiwa mtu yeyote atamuua Kaini atalipizwa kisasi mara saba zaidi.” Kisha BWANA akamwekea Kaini alama ili mtu yeyote ambaye angemwona asimuue.
Mwanzo 4:15 ஆராயுங்கள்
முகப்பு
வேதாகமம்
வாசிப்புத் திட்டங்கள்
காணொளிகள்