Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Injili ya Luka Sura ya 19-23

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Huduma na kazi ya Yesu ilifikia kileleni katika wiki tatanishi wakiingia katika sherehe za pasaka. Katika video hii tutaangazia Injili ya Luka sura za 19-23 na jinsi ilivyotokea kwamba Yesu asiye na hatia aliishia kuadhibiwa kwa kifo kama mwasi wa mapinduzi dhidi ya Rumi. Pia tutaona jinsi Yesu hakushangazwa hata kidogo, kwa sababu aliamini kuwa kifo chake kingeleta mustakabali mpya kwa Israeli na watu wote. https://bibleproject.com/Swahili/