Zab 119:11-15
![Zab 119:11-15 - Moyoni mwangu nimeliweka neno lako,
Nisije nikakutenda dhambi.
Ee BWANA, umehimidiwa,
Unifundishe amri zako.
Kwa midomo yangu nimezisimulia
Hukumu zote za kinywa chako.
Nimeifurahia njia ya shuhuda zako
Kana kwamba ni mali mengi.
Nitayatafakari mausia yako,
Nami nitaziangalia njia zako.](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2F320x320%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fstatic-youversionapi-com%2Fimages%2Fbase%2F89477%2F1280x1280.jpg&w=640&q=75)
Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi. Ee BWANA, umehimidiwa, Unifundishe amri zako. Kwa midomo yangu nimezisimulia Hukumu zote za kinywa chako. Nimeifurahia njia ya shuhuda zako Kana kwamba ni mali mengi. Nitayatafakari mausia yako, Nami nitaziangalia njia zako.
Zab 119:11-15