BibleProject | Agano Jipya Ndani ya Mwaka Mmoja

365 Siku
Mpango huu wa mwaka mmoja utakupitisha katika Agano Jipya lote ukiambatana na video zitakazokusaidia kuongeza uelewa wako
Tungependa kuwashukuru BibleProject kwa kutupatia hili somo. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea www.bibleproject.com