Zekaria 8:16
Zekaria 8:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivi ndivyo mnavyopaswa kufanya: Kila mmoja wenu na amwambie mwenzake ukweli. Mahakama yenu daima na yatoe hukumu za haki ziletazo amani.
Shirikisha
Soma Zekaria 8Zekaria 8:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haya ndiyo mtakayoyatenda; kila mtu na aseme ukweli na jirani yake; katika malango yenu toeni hukumu za kweli na ziletazo amani
Shirikisha
Soma Zekaria 8