Zekaria 5:11
Zekaria 5:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akaniambia “Wanakipeleka katika nchi ya Shinari. Huko watakijengea hekalu na litakapokuwa tayari, watakiweka kikapu hicho ndani.”
Shirikisha
Soma Zekaria 5Zekaria 5:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaniambia, Wanakwenda kumjengea nyumba katika nchi ya Shinari; tena ikiisha kutengenezwa, atawekwa huko mahali pake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Zekaria 5