Zekaria 14:9
Zekaria 14:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo, Mwenyezi-Mungu atakuwa ndiye mfalme pekee wa dunia yote; naye atakuwa ndiye Mwenyezi-Mungu pekee, mmoja tu, na jina lake litakuwa ndilo jina pekee.
Shirikisha
Soma Zekaria 14Zekaria 14:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye BWANA atakuwa Mfalme wa nchi yote; siku hiyo BWANA atakuwa mmoja, na jina lake moja.
Shirikisha
Soma Zekaria 14Zekaria 14:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye BWANA atakuwa Mfalme juu ya nchi yote; siku hiyo BWANA atakuwa mmoja, na jina lake moja.
Shirikisha
Soma Zekaria 14