Tito 3:7
Tito 3:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili tukihesabiwa haki kwa neema yake, tupate kufanywa warithi wa uzima wa milele, kama lilivyo tumaini letu.
Shirikisha
Soma Tito 3Tito 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)
ili kwa neema yake tupate kukubaliwa kuwa waadilifu na kuupokea uhai wa milele tunaotumainia.
Shirikisha
Soma Tito 3