Tito 1:6
Tito 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mzee wa kanisa anapaswa kuwa mtu asiye na hatia; aliye na mke mmoja tu, na watoto wake wanapaswa kuwa waumini, wasiojulikana kuwa wakorofi au wakaidi.
Shirikisha
Soma Tito 1Tito 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ikiwa mtu hakushitakiwa neno, naye ni mume wa mke mmoja, ana watoto waaminio, wasioshitakiwa kuwa ni wafisadi wala wasiotii.
Shirikisha
Soma Tito 1