Ruthu 3:18
Ruthu 3:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye mkwewe akasema, Basi, mwanangu, tulia; hata utakapojua jinsi litakavyotukia jambo hili; kwa sababu mtu huyu hataridhika, asipolimaliza jambo hilo leo.
Shirikisha
Soma Ruthu 3Ruthu 3:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Naomi akasema, “Sasa tulia binti yangu Ruthu, mpaka uone litakalotokea. Boazi hatatulia leo mpaka ameyatimiza yote.”
Shirikisha
Soma Ruthu 3