Waroma 9:21
Waroma 9:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfinyanzi anaweza kuutumia udongo apendavyo na kufinyanga vyungu viwili kwa udongo uleule; kimoja kwa matumizi ya heshima, na kingine kwa matumizi ya kawaida.
Shirikisha
Soma Waroma 9Waroma 9:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Au mfinyanzi je! Hana amri juu ya udongo, kwa fungu moja la udongo kuumba chombo kimoja kiwe cha heshima, na kimoja kiwe hakina heshima?
Shirikisha
Soma Waroma 9