Waroma 8:29
Waroma 8:29 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Maana wale Mungu aliowajua tangu mwanzo, pia aliwachagua tangu mwanzo, wapate kufanana na mfano wa Mwanawe, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana hao aliowachagua tangu mwanzo, ndio aliowateua wapate kufanana na Mwanae, ili Mwana awe wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi.
Shirikisha
Soma Waroma 8