Waroma 7:14
Waroma 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunajua kwamba sheria ni ya kiroho, lakini mimi ni wa kidunia, mimi nimeuzwa kuwa mtumwa wa dhambi.
Shirikisha
Soma Waroma 7Waroma 7:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana twajua ya kuwa torati asili yake ni ya rohoni; bali mimi ni mtu wa mwilini, nimeuzwa chini ya dhambi.
Shirikisha
Soma Waroma 7