Waroma 5:20
Waroma 5:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Sheria ilitokea, ikasababisha kuongezeka kwa uhalifu; lakini pale dhambi ilipoongezeka, neema iliongezeka zaidi.
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini sheria iliingia ili kosa lile liwe kubwa sana; na dhambi ilipozidi, neema ilikuwa nyingi zaidi
Shirikisha
Soma Waroma 5