Waroma 2:5
Waroma 2:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu
Shirikisha
Soma Waroma 2Waroma 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini unao ugumu na ukaidi wa moyo, na hivyo unajirundikia adhabu kwa siku ile ya ghadhabu wakati hukumu ya haki ya Mungu itakapodhihirishwa.
Shirikisha
Soma Waroma 2