Waroma 15:13
Waroma 15:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mungu aliye msingi wa matumaini, awajazeni furaha yote na amani kutokana na imani yenu; tumaini lenu lipate kuongezeka kwa nguvu ya Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Waroma 15Waroma 15:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Mungu wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani katika kuamini, mpate kuzidi sana kuwa na tumaini, katika nguvu za Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Waroma 15Waroma 15:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Mungu wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani katika kuamini, mpate kuzidi sana kuwa na tumaini, katika nguvu za Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Waroma 15