Waroma 14:17
Waroma 14:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana ufalme wa Mungu si shauri la kula na kunywa, bali unahusika na kuwa na uadilifu, amani na furaha iletwayo na Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Waroma 14Waroma 14:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana ufalme wa Mungu si kula wala kunywa, bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Waroma 14