Waroma 12:9-10
Waroma 12:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Pendo na lisiwe na unafiki lichukieni lililo ovu, mkilishika lililo jema. Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:9-10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema. Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mapendo yenu na yawe bila unafiki wowote. Chukieni jambo lolote ovu, zingatieni jema. Pendaneni kindugu; kila mmoja amfikirie kwanza mwenzake kwa heshima.
Shirikisha
Soma Waroma 12