Waroma 12:5
Waroma 12:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Hali kadhalika ingawa sisi ni wengi, tu mwili mmoja kwa kuungana na Kristo, na kila mmoja ni kiungo cha mwenzake.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na viungo, kila mmoja kwa mwenzake.
Shirikisha
Soma Waroma 12