Waroma 12:20
Waroma 12:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Badala yake: “Kama adui yako ana njaa, mlishe; kama ana kiu, mpe kinywaji. Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake.”
Shirikisha
Soma Waroma 12