Waroma 12:16
Waroma 12:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Ishini kwa kupatana vema nyinyi kwa nyinyi. Msijitakie makuu, bali jishughulisheni na madogo. Msijione kuwa wenye hekima sana.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi. Msinuie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge. Msiwe watu wa kujivunia akili.
Shirikisha
Soma Waroma 12